Daraja linalowaunganisha wakazi wa Monolandege na Mombasa jimbo la Ukonga kata ya Ukonga manisipaa ya Ilala likiwa limesombwa na maji ya mvua hivi karibuni nakuta mawasiliano ya huduma za kijamii kwa wakazi hao
Mwenyekiti wa kamati ya mindombinu (kulia) ndugu Elly Dallas Mtaa wa Mongolandege kata ya Ukonga akiangalia ubovu wa barabara katika mtaa huo uliyo sababishwa na mvua zilozonyesha hivi karibuni.
Hivi ndivyo ilivyo kwahali ya barabara mtaa wa Mongolandege kata ya Ukonga
No comments:
Post a Comment