Tuesday, March 26, 2013

ABILIA WAPOTEZA MAISHA NA KUJERUHIWA KATIKA AJALI MADALAJA YA KIVULE

Mwandishi: Mkali  Ephraim
Mhariri: Raphael Malekela
Picha : Habibu

Ajari mbaya sha basi la abiria linalofanya safari zake kati ya Kivule na Banana jijini Dar er salaam namba gari hilo hazikuwezakupatikana. Chanzo cha ajari hiyo ni mwendo kasi na kuferi kwa breki ambopo likamugonga mwanafunzi ambaye alikua anaendesha basikeri kuelekea shuleni.

Baada yakumgonga mwanafunzi huyo gari hilo lilianguka nakumulalia mwanafunzi huyo nakupoteza maisha papo hapo, na wawili waliyokuwa kwenye basi hilo na wengine   kujeruhiwa vibaya nakukimbizwa katika hosipitali ya amana.

Mashuhuda wa ajari hiyo wameeleza kuwa mwendo kasi na uzembe wa dereva ndiyo chanzo cha ajari hizi
Pamoja na hilo Ubovu na Uchakavu wamagari yanayo fanya ruti kati ya banana, kivule, kitunda, mwanagati, kibeberu nakinyantira na ubovu wa barabara na ufinyu wa madaraja ni chanzo cha ajari katika maeneo hayo. 

Sambamba na hilo uchunguzi umebaini madereva wengi hawana elimu ya udereva na hawana leseni za udereva, hivyo jamii inaviomba vyombo husika kufuatilia jambo hilo kunusuru usalama wa abilia na mali zao pamoja navyombo vyao vya usafili..

Katika ajari hiyo wananchi walijitokeza kutoa msaada kwa wahanga wa ajari  wakiwemo mhe: diwani wakitunda na mwenyekiti wa selikari ya  mtaa wa kivule mh: J.B Gassaya.

Wakati huo huo ajari nyingine imetokea maeneo ya kwa mwairafu barabara hiyo hiyo wakati wananchi wakitoa msahada katika ajari iliyo husisha basi  la abiria kama inavyoonekana katika picha. ajari hio iliyo husisha lori la mchanga kugongana uso kwa uso na basi la abiria aina ya costa, abiria kadhaa  wamejeruhiwa.
                                                                                                                                                               
Mwenyerkiti wa  selikari ya mtaa kivule Mh: Gassaya (katikati) akishuhudia ajari hiyo.

PICHA ZOTE KATIKA AJARI HIYO!

Monday, February 25, 2013

JAMII YATAKIWA KUACHA UKATIRI DHIDI YA WATOTO

Jamii imetakiwa kuacha vitendo vya ukatiri dhidi ya watoto,badala yake wawalee watoto hao katika malezi bora yatakayowafanya watoto wawe na furaha wakati wote.
Hivi karibuni maeneo ya ukonga mazizini katika manispaa ya Ilala,kitendo cha kikatiri dhidi ya mtoto Deo Laulent,mwenye umri wa miaka 7,anaesoma darasa la kwanza katika shule ya msingi Amani mzambarauni ukonga,yamemkuta makubwa na kumpelekea kujeruhiwa vibaya usoni na kichwa kama anavyo onekana pichani.

Kitendo hiki kimedaiwa kufanywa na mama yake mzazi bi Gradi David,mkazi wa mtaa wa mazizini ukonga,alimuazibu mtoto kwa kosa la kutokwenda kula chakula kwa mama yake mkubwa baada ya kutoka shule mchana,kwa maelezo ya mtoto huyu,anakiri kuagizwa kwenda kula kwa mama mkubwa,lakini akajikuta ameenda kucheza kwa rafiki yake aliyemaja kwa jina la Juma,kwa maelezo yake mtoto Deo,alicheza kwa rafiki yake,alikula chakula cha mchana na baadae kuoga kwa huyo rafiki yake,ambapo alishinda huko hadi jioni na kurudi nyumbani kwao.

Aliporudi nyumbani Deo alipewa sh 1000 na bibi yake[mjumbe wa shina] ambae ni mwenyenyumba alipopanga mama yake,akanunue chips ale,ambapo bibi huyo hufanya hivyo mara kwa mara,ambapo mama yake Deo anapotoka kwenye kazi yake hulipa pesa hizo,mama yake Deo ni muhudumu wa bar maeneo ya banana.

Mama yake Deo,alipokuwa anarudi toka kazini kwake majira ya usiku alipia kwa muuza chips ambapo mtoto wake alinunua,akaambiwa mtoto wake amekula chips za tsh 5300,kitendo kilichopelekea mama huyu kumuadhibu vibaya mtoto wake huyo kama anavyoonekana pichani mtoto Deo,”alinishika kichwa na kunibamiza kwa nguvu kwenye kitanda,na kunichapa kwa bakora kichwani na mwilini”aliongea Deo huku machozi yakimlengalenga,akiongea kwa shida.

Tukio hilo la ukatiri lilifanyika tarehe 22/01/2013 usiku, nakulipopambazuka mtoto Deo alijiandaa kwenda shuleni,alipofika shuleni walimu wake walishitushwa na hali  aliyokuwanayo Deo,walimu walikusanyana na kuchukua hatua ya kuomba msaada ffu ukonga ili mama huyo akamatwe,mama huyo alikamatwa na kufikishwa shuleni,baada ya mahojiano na walimu washule ya Amani,alipekwa kituo cha polisi stakishari ukonga na mtoto alipelekwa hospitari ya Amana kwa ghalama za walimu,na mwalimu mmoja alijitolea kukaa na mtoto kwa siku mbili na motto kurudi kwa mama yake.

Kauli ya mama yake anadai  Deo alijigonga kwenye kitanda,kauli ambayo Deo anaipinga,mototo Deo anatamani  akaishi na baba yake ambae anafahamika kwa jina la Laulent mahali anapoishi hapajajulikana,mtoto Deo anadai kuwa mama yake anamwambia kwa baba yake kuna samba na twiga akienda ataliwa,kauli ambayo inamtisha na kumjengea hofu kwa usalama wa maisha yake. 

Saturday, February 9, 2013

WANANCHI WANAOISHI MAENEO KIVULE-MUSONGOLA WASHINDA KESI YA ARIDHI NO 32/2012

WANANCHI wanaoishi maeneo ya Kivule mpakani mwa Wilaya ya Temeke na Ilala jijini Dar es Salaam, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete pamoja na  Serikali yake kudhibiti kikundi cha Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania (UVIKIUTA), kuasha kufanya fujo na kutishia amani ya wana nchi hao, wakati mgogoro wao wa ardhi na wana nchi hao.

Wakiongea na wandishi wa habari hapo jana wananchi hao kupitia kwaviongozi wao walisema wanashangazwa na vitendo va uvikiuta vya ukatili, wanavowatendea pia walisema kwamba uwongozi huo wa uvikiuta umekeuka sheria za inchi na amri iliyo tolewa na mahakama ambayo ni muhimili wa dola.

Baada ya wananchi hao kufungua kesi katika mahaka kuu kitengo cha ardhi (The High Court Of Tanzania Land Division) Dar es salaam , mahakama bahada yakupia vielelezo vyote ilitoa Revisional Order baada yakupita hukumu yakwanza iliyotewa na mahakama ya wilaya ya  Temeke kitengo cha aridhi (District Land and Housing Tribunal) kesi hio temeke ilipewa usajili wa namba 68/2012.

Mahakama kuu ilipopitia hukumu hio ikabaini kwamba kulikua na makosa hivo basi mahakama kuu ikafutilia mbali hukumu hio nakuamua kwamba Uvikiuta wafunguwe njia zote walizokua wakifunga, na asha mara moja vitendo vyakubomowa nyumba na kufyeka mazao ya wana nchi hapo ndipo mahakama kuu ikatoa Order namba 32 ya 2012 kusimamisha shuhuri zote za uvikiuta.

Lakini licha ya mahakama kuu kutowa Order hiyo Uvikiuta waliendelea na vitendo vao va kunyanyasa wananchi, kitendo cha uvikiuta kukeuka amri ya mahakama kili washangaza watu wengi kwa sababu hakuna aliye juu ya sheria, 

Uwongozi huo wa uvikiuta ulikua ukiwatichia wana nchi hao kwa kusema "hili eneo ni laikuru" kumanisha kwamba JK anausika na enelo hilo jambo mbalo sio sahihi kabisa, lakini bahadhi ya wananchi kuamini kwamba au nikweli eneo hilo ni lakwake mukubwa wa nchi kwakulingana na nguvu za Uvikiuta ambazo zinasadikiwa zina natikea kwa  Mkuu wa Wilaya (DC) ya Kinondoni, Jordan Rugimbana kwa madai ya kutumia cheo chake vibaya na kutaka kuwanyang’anya ardhi wanayomiliki kihalali. Jordan Rugimbana yeye nimutumishi wa uma.

UYU HAPA BWANA JORDAN RUGIMBANA

wakazi hao walieleza kushangazwa na kitendo kilichofanywa na Rugimbana cha kufika katika eneo hilo lenye hekari zaidi ya 372 na kugawa vipeperushi vya kuwataka wakazi hao kuondoka kwa hiyari kabla ya kubomolewa nyumba zao.

Akizungumza kwa niaba ya uongozi uliochaguliwa na wakazi hao, mjumbe wa kamati ya mgogoro huo, Barton Kigola,(katibu) alisema mkuu huyo wa wilaya anatumia nguvu aliyonayo kutaka kuwaondoa katika eneo hilo, hivyo watamfikisha mahakamani ili waweze kutetea haki yao. Kigola alisema mbali na kutumia nguvu aliyonayo, pia hukitumia kikundi cha Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania (Uvikiuta) kuchukua ardhi hiyo.

“Hatuelewi kiongozi huyu anapata wapi idhini ya kutupokonya ardhi na hatuelewi kwanini anataka ardhi yote hii? Hata hivyo tunaiomba serikali wakichunguze kikundi hicho ambacho jina lake haliendani na matendo yake,” alisema.

Alisema eneo hilo lilikuwa mashamba ya wazawa ambapo mwaka 1974 baadhi ya wananchi waliondolewa katika operesheni vijiji na Rais wa awamu ya kwanza, hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Kigola alisema kutokana na wazawa kushindwa kulipwa fidia walilazimika kurudi katika maeneo yao na kuyaendeleza hadi sasa unapojitokeza mgogoro huo.

Kwasas mahakama imetoa (Drawn Order) ambayo imetolewa Tarehe 2301/2013 ambayo inaonesha eneo lote kua la wana nchi pia maakama ilisema kama uvikiuta hawajaridhika na hukumu hio wako huru kufungua upya hio kesi  ya ardhi namba 32/2012, kwahilo basi wana nchi wna uhuru wakuendeleza maeneo yao ambayo wanamiliki kihalari kabisa.
                               
                              KILIO CHA WANANCHI KWA RAISI JK

WANANCHI hao ambao nyumba zao zilibomolewa wamemuomba raisi Jakaya Kikwete kutumia busara zake kulitatua hili swala la uvikiuta na wananchi.
Mwenyekiti wa kamati hio ya wananchi alisema "Tunaimani sana kwamba raisi wetu tuliyekuchagua kwmba utalishuhulikia swala hili mapema iwezekanavyo ili miaka 51 ya uhuru iwe ya uhuru kweli. kwasasa wote ambao nyumba zetu zilibomolea tuna lala inje, watoto wetru hawaendi shule wanaogopa wana mugambo ambowo wamefunga njia zakupita wanainchi. Tunaomba kama kuna wezekano njoo ututembelee au sisi tuje kutowa mdukuduku yetu.WANANCHI wanaoishi maeneo ya Kivule mpakani mwa Wilaya ya Temeke na Ilala jijini Dar es Salaam, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete pamoja na  Serikali yake kudhibiti kikundi cha Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania (UVIKIUTA), kuasha kufanya fujo na kutishia amani ya wana nchi hao, wakati mgogoro wao wa ardhi na wana nchi hao.

Wakiongea na wandishi wa habari hapo jana wananchi hao kupitia kwaviongozi wao walisema wanashangazwa na vitendo va uvikiuta vya ukatili, wanavowatendea pia walisema kwamba uwongozi huo wa uvikiuta umekeuka sheria za inchi na amri iliyo tolewa na mahakama ambayo ni muhimili wa dola.

Baada ya wananchi hao kufungua kesi katika mahaka kuu kitengo cha ardhi (The High Court Of Tanzania Land Division) Dar es salaam , mahakama bahada yakupia vielelezo vyote ilitoa Revisional Order baada yakupita hukumu yakwanza iliyotewa na mahakama ya wilaya ya  Temeke kitengo cha aridhi (District Land and Housing Tribunal) kesi hio temeke ilipewa usajili wa namba 68/2012.

Mahakama kuu ilipopitia hukumu hio ikabaini kwamba kulikua na makosa hivo basi mahakama kuu ikafutilia mbali hukumu hio nakuamua kwamba Uvikiuta wafunguwe njia zote walizokua wakifunga, na asha mara moja vitendo vyakubomowa nyumba na kufyeka mazao ya wana nchi hapo ndipo mahakama kuu ikatoa Order namba 32 ya 2012 kusimamisha shuhuri zote za uvikiuta.

Lakini licha ya mahakama kuu kutowa Order hiyo Uvikiuta waliendelea na vitendo vao va kunyanyasa wananchi, kitendo cha uvikiuta kukeuka amri ya mahakama kili washangaza watu wengi kwa sababu hakuna aliye juu ya sheria, 

Uwongozi huo wa uvikiuta ulikua ukiwatichia wana nchi hao kwa kusema "hili eneo ni laikuru" kumanisha kwamba JK anausika na enelo hilo jambo mbalo sio sahihi kabisa, lakini bahadhi ya wananchi kuamini kwamba au nikweli eneo hilo ni lakwake mukubwa wa nchi kwakulingana na nguvu za Uvikiuta ambazo zinasadikiwa zina natikea kwa  Mkuu wa Wilaya (DC) ya Kinondoni, Jordan Rugimbana kwa madai ya kutumia cheo chake vibaya na kutaka kuwanyang’anya ardhi wanayomiliki kihalali. Jordan Rugimbana yeye nimutumishi wa uma.
UYU HAPA BWANA JORDAN RUGIMBANA

wakazi hao walieleza kushangazwa na kitendo kilichofanywa na Rugimbana cha kufika katika eneo hilo lenye hekari zaidi ya 372 na kugawa vipeperushi vya kuwataka wakazi hao kuondoka kwa hiyari kabla ya kubomolewa nyumba zao.

Akizungumza kwa niaba ya uongozi uliochaguliwa na wakazi hao, mjumbe wa kamati ya mgogoro huo, Barton Kigola,(katibu) alisema mkuu huyo wa wilaya anatumia nguvu aliyonayo kutaka kuwaondoa katika eneo hilo, hivyo watamfikisha mahakamani ili waweze kutetea haki yaWANANCHI wanaoishi maeneo ya Kivule mpakani mwa Wilaya ya Temeke na Ilala jijini Dar es Salaam, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete pamoja na  Serikali yake kudhibiti kikundi cha Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania (UVIKIUTA), kuasha kufanya fujo na kutishia amani ya wana nchi hao, wakati mgogoro wao wa ardhi na wana nchi hao.

Wakiongea na wandishi wa habari hapo jana wananchi hao kupitia kwaviongozi wao walisema wanashangazwa na vitendo va uvikiuta vya ukatili, wanavowatendea pia walisema kwamba uwongozi huo wa uvikiuta umekeuka sheria za inchi na amri iliyo tolewa na mahakama ambayo ni muhimili wa dola.

Baada ya wananchi hao kufungua kesi katika mahaka kuu kitengo cha ardhi (The High Court Of Tanzania Land Division) Dar es salaam , mahakama bahada yakupia vielelezo vyote ilitoa Revisional Order baada yakupita hukumu yakwanza iliyotewa na mahakama ya wilaya ya  Temeke kitengo cha aridhi (District Land and Housing Tribunal) kesi hio temeke ilipewa usajili wa namba 68/2012.

Mahakama kuu ilipopitia hukumu hio ikabaini kwamba kulikua na makosa hivo basi mahakama kuu ikafutilia mbali hukumu hio nakuamua kwamba Uvikiuta wafunguwe njia zote walizokua wakifunga, na asha mara moja vitendo vyakubomowa nyumba na kufyeka mazao ya wana nchi hapo ndipo mahakama kuu ikatoa Order namba 32 ya 2012 kusimamisha shuhuri zote za uvikiuta.

Lakini licha ya mahakama kuu kutowa Order hiyo Uvikiuta waliendelea na vitendo vao va kunyanyasa wananchi, kitendo cha uvikiuta kukeuka amri ya mahakama kili washangaza watu wengi kwa sababu hakuna aliye juu ya sheria, 

Uwongozi huo wa uvikiuta ulikua ukiwatichia wana nchi hao kwa kusema "hili eneo ni laikuru" kumanisha kwamba JK anausika na enelo hilo jambo mbalo sio sahihi kabisa, lakini bahadhi ya wananchi kuamini kwamba au nikweli eneo hilo ni lakwake mukubwa wa nchi kwakulingana na nguvu za Uvikiuta ambazo zinasadikiwa zina natikea kwa  Mkuu wa Wilaya (DC) ya Kinondoni, Jordan Rugimbana kwa madai ya kutumia cheo chake vibaya na kutaka kuwanyang’anya ardhi wanayomiliki kihalali. Jordan Rugimbana yeye nimutumishi wa uma.

UYU HAPA BWANA JORDAN RUGIMBANA

wakazi hao walieleza kushangazwa na kitendo kilichofanywa na Rugimbana cha kufika katika eneo hilo lenye hekari zaidi ya 372 na kugawa vipeperushi vya kuwataka wakazi hao kuondoka kwa hiyari kabla ya kubomolewa nyumba zao.

Akizungumza kwa niaba ya uongozi uliochaguliwa na wakazi hao, mjumbe wa kamati ya mgogoro huo, Barton Kigola,(katibu) alisema mkuu huyo wa wilaya anatumia nguvu aliyonayo kutaka kuwaondoa katika eneo hilo, hivyo watamfikisha mahakamani ili waweze kutetea haki yao. Kigola alisema mbali na kutumia nguvu aliyonayo, pia hukitumia kikundi cha Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania (Uvikiuta) kuchukua ardhi hiyo.

“Hatuelewi kiongozi huyu anapata wapi idhini ya kutupokonya ardhi na hatuelewi kwanini anataka ardhi yote hii? Hata hivyo tunaiomba serikali wakichunguze kikundi hicho ambacho jina lake haliendani na matendo yake,” alisema.

Alisema eneo hilo lilikuwa mashamba ya wazawa ambapo mwaka 1974 baadhi ya wananchi waliondolewa katika operesheni vijiji na Rais wa awamu ya kwanza, hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Kigola alisema kutokana na wazawa kushindwa kulipwa fidia walilazimika kurudi katika maeneo yao na kuyaendeleza hadi sasa unapojitokeza mgogoro huo.

Kwasas mahakama imetoa (Drawn Order) ambayo imetolewa Tarehe 2301/2013 ambayo inaonesha eneo lote kua la wana nchi pia maakama ilisema kama uvikiuta hawajaridhika na hukumu hio wako huru kufungua upya hio kesi  ya ardhi namba 32/2012, kwahilo basi wana nchi wna uhuru wakuendeleza maeneo yao ambayo wanamiliki kihalari kabisa.
                               
o.
 Kigola alisema mbali na kutumia nguvu aliyonayo, pia hukitumia kikundi cha Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania (Uvikiuta) kuchukua ardhi hiyo.

“Hatuelewi kiongozi huyu anapata wapi idhini ya kutupokonya ardhi na hatuelewi kwanini anataka ardhi yote hii? Hata hivyo tunaiomba serikali wakichunguze kikundi hicho ambacho jina lake haliendani na matendo yake,” alisema.

Alisema eneo hilo lilikuwa mashamba ya wazawa ambapo mwaka 1974 baadhi ya wananchi waliondolewa katika operesheni vijiji na Rais wa awamu ya kwanza, hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Kigola alisema kutokana na wazawa kushindwa kulipwa fidia walilazimika kurudi katika maeneo yao na kuyaendeleza hadi sasa unapojitokeza mgogoro huo.

Kwasas mahakama imetoa (Drawn Order) ambayo imetolewa Tarehe 2301/2013 ambayo inaonesha eneo lote kua la wana nchi pia maakama ilisema kama uvikiuta hawajaridhika na hukumu hio wako huru kufungua upya hio kesi  ya ardhi namba 32/2012, kwahilo basi wana nchi wna uhuru wakuendeleza maeneo yao ambayo wanamiliki kihalari kabisa.
                               
                              KILIO CHA WANANCHI KWA RAISI JK

WANANCHI hao ambao nyumba zao zilibomolewa wamemuomba raisi Jakaya Kikwete kutumia busara zake kulitatua hili swala la uvikiuta na wananchi.
Mwenyekiti wa kamati hio ya wananchi alisema "Tunaimani sana kwamba raisi wetu tuliyekuchagua kwmba utalishuhulikia swala hili mapema iwezekanavyo ili miaka 51 ya uhuru iwe ya uhuru kweli. kwasasa wote ambao nyumba zetu zilibomolea tuna lala inje, watoto wetru hawaendi shule wanaogopa wana mugambo ambowo wamefunga njia zakupita wanainchi. Tunaomba kama kuna wezekano njoo ututembelee au sisi tuje kutowa mdukuduku yetu.